Bahari kutoka pwani yenye utajiri wa mafuta Afrika magharibi sasa ndio hatari zaidi duniani kwa ubaharia, kwa mujibu wa ripoti mpya. One Earth Future, ambayo hutoa taarifa ya kila mwaka kuhusu ...
Utawala wa Trump umeazimia kuanzisha upya biashara ya hidrokaboni duniani. Lakini hadi sasa, mazungumzo yanapokaribia kuanza, ...
Wanasayansi wamegundua oksijeni kwenye kina kirefu cha bahari, ikizalishwa na vipande vya mawe kwenye sakafu ya bahari. Karibu nusu ya oksijeni tunayopumua hutoka baharini. Lakini, kabla ya ugunduzi ...
Mpango wa Ujerumani wa kupeleka meli yake ya kivita ya jeshi la wanamaji katika bahari ya Sham, ni moja ya jukumu hatari zaidi kuwahi kufanywa na jeshi hilo katika kipindi cha miongo. Akiwa ziarani ...
"Tabia ya upande wa Ujerumani huongeza hatari za usalama na kutuma ishara mbaya," msemaji wa jeshi la China Li Xi amesema katika taarifa iliyorejelewa na shirika la habari la AFP. Ameongeza kuwa ...